Ulinzi Wa Watoto Kipindi Cha Janga La COVID-19: Watoto na Malezi Mbadala

Better Care Network, The Alliance for Child Protection in Humanitarian Action, UNICEF and an Inter-agency Task Force

Kusudi la dokezo hili la kitalaamu ni kusaidia watendaji wa ulinzi wa watoto na maafisa wa serikali katika mwitikio wao wa kukabiliana mara moja na changamoto za ulinzi wa watoto zinazowakabili watoto ambao wako katika hatari ya kutenganishwa na familia zao au kuwekwa  mahali kwaajili ya uangalizi mbadala katika kipindi hiki cha  janga la COVID-19.  Imeandaliwa na wafanyakazi wa kikosi cha wataalam maalum walio bobea katika ulinzi na utunzaji wa watoto na linagengwna dokezo la kitaalam: Ulinzi wa watoto wakati wa Janga la Virusi vya Corona lililoandaliwa na The Alliance for Child Protection in Humanitarian Action na lina msingi wa viwango vya kimataifa na utendaji unaohusiana na utunzaji na  ulinzi wa watoto.  


View English version of this Technical Note here.

View accompanying Key Approaches annex document (in English) here.

File